πŸ’₯ #TAFAKARI YA LEO; BORA UPOTEE…

By | November 24, 2016
Habari za asubuhi ya leo rafiki? Ni siku nyingine mzuri sana ambayo tumeianza. Ni ile siku ambayo kuna mambo ulijiambia nitafanya kesho. Nataka nikukumbushe tu rafiki yangu kwamba kesho yenyewe ndiyo imeshafika sasa. Usipeleke tena kwenye kesho nyingine zaidi ya leo. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu KUPOTEA, kuliko kubaki hapo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: #TAFAKARI YA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz