💥#TAFAKARI YA LEO; HAPO ULIPO SASA.

By | December 30, 2016
Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa kwenye kile ambacho tumechagua kufanya. Tukumbukenya kwamba muda ndiyo rasilimali muhimu sana kwetu, tuutumie muda wetu vizuri. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu HAPO ULIPO SASA, HAPO ULIPO SASA ndipo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In