MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
π₯ #TAFAKARI YA LEO; BADILI KITU LEO…
Hongera rafiki kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi nzuri kwetu kwenda kuweka NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA kwenye kila tunachofanya kwenye maisha yetu, ili kuweza kupata matokeo bora. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu kufanya mabadiliko madogo leo. Kama ambavyo tunajua, mafanikio kwenye maisha hayatokei kama ajali, kwamba