💥 #TAFAKARI YA LEO; ACTION VS REACTION…

By | February 19, 2017
Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Tumepata nafasi nyingine nzuri sana ya kwenda kuweka juhudi zaidi kwenye kile ambacho tumechagua kufanya. Msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ndiyo utatufikisha mbali zaidi kwa kutuwezesha kufanya makubwa zaidi. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu ACTION na REACTION.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In