💥 #TAFAKARI YA LEO; MWANZO MGUMU…

By | February 20, 2017
Hongera kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo rafiki. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora. Kumbuka msingi wetu muhimu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA. Kika unachofanya siku ya leo, usiache msingi huo muhimu nyuma. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu MWANZO MGUMU.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In