💥 #TAFAKARI YA LEO; NI MAISHA YAKO…

By | March 7, 2017
Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili tuweze kupata matokeo bora sana. Hakikisha siku hii ya leo unaitumia vizuri rafiki, unachoweza kufanya leo kisingoje kesho. Ni kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA tunaweza kufanya makubwa zaidi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In