Tabia Moja Inayowaingiza Watu Wengi Kwenye Madeni Ya Kifedha, Na Namna Ya Kuiepuka.

By | May 2, 2017
Kijana mmoja ambaye alikuwa ndiyo ameajiriwa kama miaka miwili hivi, tukiwa kwenye maongezi aliniambia tangu ameajiriwa hajawahi kuchukua mkopo benki kwa kutumia mshahara wake. Nikamwambia hizo ni dalili nzuri, ni vyema akaendelea hivyo. Lakini yeye alikuwa akichukulia hilo kama siyo sawa, kwa sababu wenzake wote anaofanya nao kazi, wana mikopo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: FEDHA NA UWEKEZAJI

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz