Jinsi Ya Kuchagua Uwekezaji Unaokufaa Wewe Kulingana Na Mahitaji Yako.

By | May 3, 2017
Kila mtu ambaye yupo makini na fedha, anataka kufikia uhuru wa kifedha na utajiri, basi uwekezaji ni kitu cha lazima kufanya. Siyo kitu cha kujaribu na wala siyo kitu cha kuangalia kama unaweza, bali ni kitu ambacho unapaswa kujifunza, kukijua kiundani na kuwekeza. Hii ni kwa sababu kadiri umri wetu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: FEDHA NA UWEKEZAJI

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz