💥 #GHAHAWA; KAMA WATU MILIONI 50 WATASEMA KITU CHA KIJINGA, BADO NI CHA KIJINGA.

By | May 15, 2017
Hongera rafiki yangu kwa siku hii nzuri sana ya leo. Nina imani kubwa yapo makubwa uliyofanya leo, na pia yapo mengi uliyojifunza. Nikukumbushe kutosahau chochote ulichojifunza. Kwenye #GHAHAWA yetu ya leo tunakwenda kuangalia namna tunavyoponzwa na kundi kubwa, kufanya kitu ambacho siyo sahihi. Kwa mfano umetoka nyumbani na unakwenda kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In