Watu Waliofanikiwa Wanasema Uongo, Ndiyo Maana Wengi Wanaojifunza Kutoka Kwao, Hawafanikiwi.

By | June 9, 2017
Leo nakuletea makala hii ambayo nitahitaji uwe mtulivu sana, na uisome kwa kina ili tuweze kuelewana. Ni makala yenye hoja kinzani, hivyo ukienda nayo haraka, unaweza usinielewe, au ukaona inakwenda kinyume na kile ambacho nimekuwa nakushirikisha kila siku. Ninachotaka kukuambia ni kwamba, watu wengi waliofanikiwa ni waongo, na hii inapelekea

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In