BIASHARA LEO; Kikwazo Cha Elimu Kubwa Kwenye Mafanikio Ya Biashara….

By | June 23, 2017
Watu wengi wenye elimu kubwa wamekuwa wakishindwa kwenye biashara, huku wenye elimu za kawaida au za chini kabisa wakifanikiwa sana kwenye biashara. Hii ni kwa sababu, kufanikiwa kwenye biashara, haihitaji akili nyingi, na wakati mwingine akili nyingi zinakuwa kikwazo. Watu wenye elimu kubwa wamekuwa wakifikiria na kuchambua sana mambo, kiasi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In