BIASHARA LEO; Kuwa Makini Unapoingia Kwenye Biashara Mpya, Hata Kama Umeshazoea Biashara…

By | July 26, 2017
Kila biashara ina changamoto zake, hii ina maana kwamba kama umekuwa kwenye biashara fulani kwa kipindi kirefu, na umeshajifunza na kuzoea biashara, haimaanishi unaweza kufanya kila aina ya biashara. Utakuwa na unafuu ukilinganisha na ambaye hajawahi kufanya biashara kabisa, lakini bado unahitaji kujifunza kwenye kila biashara mpya unayoingia. Watu wengi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In