BIASHARA LEO; Tofauti Ya Kuuza Na Kuchuuza…

By | August 31, 2017
Kama kuna kitu kimoja ambacho kila mtu anapaswa kujifunza hapa duniani, basi ni jinsi ya kuuza. Hii ni muhimu sana kwa sababu, maisha yetu yote, kuna vitu tunauza, hata kama hatupo kwenye biashara. Kwenye kazi, unauza muda na utaalamu au uzoefu wako. Kwenye uongozi unauza maneno na sera. Kwenye mahusiano

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In