BIASHARA LEO; Katika Mipango Yako Ya Biashara, Mteja Ni Sehemu Muhimu…

By | September 2, 2017
Mara nyingi watu wanapoweka mipango yao ya kibiashara, hujiangalia wao zaidi. Hili huanzia kwenye kufikiria biashara ya kufanya, wengi hufikiria kile ambacho wanapenda wao, na kwenda nacho kwa njia ambayo wanaitaka wao. Pia katika mabadiliko ya kibiashara, wengi hujiangalia wao. Kwa mfano katika maamuzi ya kubadili bei au kubadili huduma

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In