BIASHARA LEO; Kabla Watu Hawajanunua Wanataka Hichi, Na Baada Ya Kununua Wanataka Hichi.

By | September 7, 2017
Sehemu muhimu sana ya biashara ni mauzo, bila ya mauzo, biashara yoyote inakufa, hata kama ni nzuri kiasi gani. Pamoja na maeneo yote ya biashara kuwa muhimu, eneo la mauzo linahitaji mtazamo wa kipekee ili kuhakikisha biashara inaendelea kwenda. Katika kuuza, watu wengi hufanya makosa, ya kujiangalia wao wenyewe badala

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In