BIASHARA LEO; Ushauri Bora Kabisa Wa Biashara Yako Upo Kwenye Tabia Za Wateja Wako…

By | September 29, 2017
Unapokuwa na wateja ambao wanalalamikia mambo mengi kwenye biashara yako, ni vyema ukajihakikishia kwamba ni wateja sahihi kabla hujachukua hatua. Kwa sababu wapo watu ambao wamepewa ushauri wa namna ya kuboresha biashara zao na watu ambao siyo wateja wa biashara hizi. Yaani mtu anakuja na kukuambia ungefanya hivi ungepeta wateja

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In