UWEKEZAJI LEO; Faida Tano Za Kuwekeza Kwenye Hatifungani.

By | October 2, 2017
Moja ya uwekezaji kwenye masoko ya mitaji ni kununua hatifungani, ambapo unaikopesha fedha kampuni au taasisi kwa makubaliano ya kulipwa kwa riba. Watu wengi wamekuwa hawaelewi vizuri uwekezaji huu wa hatifungani, kwa sababu hauongelewi sana na kwa hapa Tanzania, hatifungani zinazopatikana sokoni siyo nyingi kama hisa. Leo nakwenda kukushirikisha faida

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In