VITABU

JIPATIE VITABU VYA KUONGEZA MAARIFA YAKO.

Karibu sana mwanamafanikio ujipatie vitabu vya kuongeza maarifa ili uweze kufanikiwa kwenye kazi zako, biashara zako na maisha kwa ujumla.

Vitabu vinavyopatikana hapa vipo kwa mfumo wa aina mbili;

 1. Vitabu kwa mfumo wa nakala tete (softcopy, pdf). Vitabu hivi vinatumwa kwa email hivyo unaweza kutumiwa popote ulipo na kuvisoma kwa urahisi kwa kutumia siku, tablet au kompyuta.
 2. Vitabu kwa mfumo wa nakala ngumu (hardcopy). Vitabu hivi vipo katika mfumo wa kawaida na unahitaji kuwa nacho ili ukisome. Vitabu vya mfumo huu vinapatikana kwenye maduka na mawakala mbalimbali na pia unaweza kusafirishiwa popote ulipo tanzania.

Utaratibu wa kupata vitabu;

Vitabu hivi vina gharama tofauti.

Kupata kitabu, BONYEZA JINA LA KITABU HAPO CHINI, soma maelezo yake na pata gharama yake kisha  tuma fedha kwa njia ya mtandao wa simu kama ifuatavyo;

M-PESA; 0755 953 887 (JINA AMANI MAKIRITA)

TIGO PESA; 0717 396 253 (JINA AMANI MAKIRITA)

AIRTEL MONEY; Tuma moja kwa moja kwenda namba ya tigo pesa 0717 396 253

Ukishatuma fedha tuma ujumbe kwenye moja ya namba hizo hapo juu, ujumbe uwe na email yako pamoja na jina la kitabu kisha utatumiwa kitabu.

Nunua vitabu ili kuongeza maarifa na uweze kufanya maamuzi sahihi kwa ajili ya mafanikio yako.

KARIBU SANA.

Vitabu vinavyopatikana ni kama  ifuatavyo;

VITABU VYA SOFTCOPY;

 1. Kwa nini mpaka sasa wewe siyo tajiri tsh elfu 5
 2. Jinsi ya kufaidika na mabadiliko yanayotokea tsh elfu 5
 3. Jinsi ya kutengeneza fedha kwenye mtandao kwa kutumia blog tsh elfu 10
 4. Kurasa za maisha ya mafanikio tsh elfu 10.
 5. Biashara ndani ya ajira tsh elfu 10.
 6. Jinsi ya kupata masaa mawili ya ziada kila siku, tsh elfu 5.
 7. Ijue biashara ya mtandao (Network Marketing), tsh elfu 5.
 8. Mimi ni mshindi, ahadi yangu na nafsi yangu, tsh elfu 10.

Jinsi ya kupata vitabu vya softcopy;

Tuma fedha na jina la kitabu unachotaka pamoja na email yako kwenye namba 0717396253 au 0755953887 kisha utatumiwa kitabu.

VITABU VYA HARDCOPY.

 1. BIASHARA NDANI YA AJIRA.

Kama upo dar unalipia tsh elfu 10 na unaletewa ulipo.

Kama upo mkoani unalipa tsh elfu 15 na unasafirishiwa kwa basi.

Namba za malipo 0755953887 au 0717396253.

 

KITABU; PATA MASAA MAWILI YA ZIADA KILA SIKU.

Habari za leo rafiki yangu? Moja ya changamoto kubwa ambayo watu wengi wamekuwa wanasema inawazuia kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yao ni muda. Watu wana mipango mikubwa na mizuri sana, lakini wanakosa muda wa kutekeleza mipango yao hiyo mizuri. Watu wanapanga kuanza biashara zao ili kuweza kujitengenezea uhuru wa kifedha, lakini wanakosa muda wa kusimamia… Read More »

Posted in VITABU | 2 Comments

Utaratibu Wa Kupata Kitabu Cha BIASHARA NDANI YA AJIRA.

Habari rafiki yangu katika mafanikio? Nichukue nafasi hii kukupa habari njema ya kwamba kitabu BIASHARA NDANI YA AJIRA, jinsi ya kuanzisha na kukuza biashara yako ukiwa bado umeajiriwa sasa kinapatikana katika mfumo wa kuchapishwa. Mwanzo kitabu hiki kiliatikana katika mfumo wa nakala tete (softcopy) ila sasa unaweza kukipata kama kitabu cha kawaida, na kuweza kukisoma… Read More »

Posted in VITABU | Leave a comment

KITABU; MIMI NI MSHINDI, Ahadi Yangu Na Nafsi Yangu.

Karibu rafiki upate kitabu MIMI NI MSHINDI, Ahadi yangu na nafsi yangu. Kitabu mimi ni mshindi kinakuwezesha wewe kuishi maisha ya ushindi, maisha ambayo yanakutofautisha wewe na wengine wengi ambao wanashindwa kufikia mafanikio makubwa. Ukiangalia maisha ya washindi na maisha ya wale ambao wanashindwa yapo tofauti kabisa. Kuna namna ambavyo washindi wanachukulia mambo yao, wanavyotumia… Read More »

Posted in VITABU | Comments Off on KITABU; MIMI NI MSHINDI, Ahadi Yangu Na Nafsi Yangu.

KITABU; BIASHARA NDANI YA AJIRA, JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA YAKO UKIWA BADO UMEAJIRIWA.

BIASHARA NDANI YA AJIRA ni kitabu ambacho kinakupa mbinu za kuanzisha na kukuza biashara yako ukiwa bado umeajiriwa. Ni kitabu ambacho kila mwajiriwa anapaswa kukisoma kwa sababu kina maarifa muhimu ya kumwezesha mwajiriwa kujikomboa kiuchumi. Wote ni mashahidi kwamba hali ya ajira kwa sasa imebadilika sana. Na kipato cha ajira kimekuwa hakitoshelezi. Na hata zile… Read More »

Posted in VITABU | Comments Off on KITABU; BIASHARA NDANI YA AJIRA, JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA YAKO UKIWA BADO UMEAJIRIWA.

KITABU; KURASA ZA MAISHA YA MAFANIKIO, TOLEO LA KWANZA 2016.

Habari njema kwa wana mafanikio wote, kitabu chako ambacho ndio mwongozo wa maisha ya mafanikio kwa mwaka huu 2016 tayari kimetoka. Kitabu hiki kinaitwa KURASA ZA MAISHA YA MAFANIKIO. Hiki ni kitabu ambacho kinakupatia wewe maarifa sahihi ya kuishi maisha ya mafanikio, kwa vyovyote vile unavyoyapima mafanikio kwenye maisha yako. Safari ya mafanikio sio rahisi,… Read More »

Posted in VITABU | Comments Off on KITABU; KURASA ZA MAISHA YA MAFANIKIO, TOLEO LA KWANZA 2016.

KITABU; JINSI YA KUFAIDIKA NA MABADILIKO YANAYOTOKEA KWENYE MAISHA.

Kama kuna kitu kimoja ambacho tuna uhakika nacho hapa duniani ni kwamba dunia inabadilika kila siku. Ukiangalia historia ya dunia tulikotoka na tulipo sasa kumetokea mabadiliko makubwa sana. Zilianza zama za mawe, zikaja zama za chuma, yakaja mapinduzi ya viwanda na hata sasa tupo kwenye mapinduzi ya kiteknolojia. Jambo moja la kushangaza ni kwamba pamoja… Read More »

Posted in VITABU | Comments Off on KITABU; JINSI YA KUFAIDIKA NA MABADILIKO YANAYOTOKEA KWENYE MAISHA.

KITABU; JINSI YA KUTENGENEZA FEDHA KWENYE MTANDAO KWA KUTUMIA BLOG.

Tunaishi kwenye ulimwengu wa zama za taarifa. Katika ulimwengu huu wale wenye taarifa sahihi ndio wanaonufaika kuliko wale ambao hawana taarifa sahihi. Pia katika ulimwengu huu taarifa watu wengi wameweza kunufaika kwa kuuza taarifa ambazo wanazo na wengine wanazihitaji. Je na wewe upo tayari kunufaika na taarifa ulizonazo, ambazo zinaweza kuwanufaisha wengine? Kama jibu ni… Read More »

Posted in VITABU | Comments Off on KITABU; JINSI YA KUTENGENEZA FEDHA KWENYE MTANDAO KWA KUTUMIA BLOG.

KITABU; KWA NINI MPAKA SASA WEWE NI SIO TAJIRI.

Madhumuni ya kuandika kitabu hiki ni kuwasaidia wale wote wenye malengo ya kufanikiwa kwenye maisha yao na kuwa matajiri. Kwa bahati mbaya sana kwenye mfumo wa elimu hakuna sehemu ambapo tunafundishwa somo linalohusiana na kutengeneza utajiri. Wachache wanaojua siri za kupata utajiri wamekuwa wakinufaika nazo na wengi ambao hawajui siri hizi wamekuwa wakiteseka kila siku… Read More »

Posted in VITABU | Comments Off on KITABU; KWA NINI MPAKA SASA WEWE NI SIO TAJIRI.