Tag Archives: MBINU ZA AFYA

Vifo Vinavyosababishwa Na Uvutaji Wa Sigara.

By | January 7, 2015

Uvutaji wa sigara peke yake unasababisha asilimia 20 ya vifo vyote vya kansa duniani na asilimia 70 ya vifo vinavyotokana na kansa ya mapafu. Kumbuka madhara haya yanaweza kukupata hata kama huvuti moja kwa moja ila unakaa karibu na wanaovuta. Moshi wa sigara una kemikali hatari sana zinazosababisha kansa. Epuka (more…)

SIKU YA UKIMWI DUNIANI; Mambo Kumi Unayotakiwa Kujua Kuhusu Ukimwi.

By | December 1, 2014

Kila tarehe 01/12 ya kila mwaka dunia inaadhimisha siku ya UKIMWI. Siku hii imepewa heshma yake kutokana na madhara yake makubwa kwa watu wanaoupata. Wakati tukiwa kwenye siku hii ya UKIMWI jiongeze na mambo haya kumi muhimu. 1. UKIMWI HAUUI. UKIMWI maana yake ni upungufu wa kinga mwilini. Hivyo kinga (more…)

Mambo matatu yatakayokufanya uishi maisha marefu.

By | November 29, 2014

Magonjwa mengi yanayowafanya watu kufa wakiwa na umri mdogo yanatokana na mtindo wa maisha tunaochagua.Magonjwa kama presha ya juu, kisukari na hata kansa yanatokana na mitindo mbalimbali ya maisha.Hapa nakushirikisha mambo matatu unayoweza kuanza kuyafanya leo na ukapunguza nafasi ya wewe kupata magonjwa haya na hivyo kuishi miaka mirefu.1. Kula (more…)

JE WAJUA; Madhara Ya Kula Huku Unaangalia Tv

By | October 9, 2014

Imekuwa ni jambo la kawaida kwa mtu kula huku akiangalia tv, simu au kompyuta.Wakati mwingine mtu anaweza kuwa anakula huku anasoma kitabu, gazeti au jarida.Hiki ni kitu hatari sana kwa afya yako. Tabia hii inakusababishia uzito wa mwili uliozidi(obesity) au kiribatumbo.Hii inatokana na kwamba wakati unakula huku unafanya jambo jingine (more…)