Tag Archives: MBINU ZA MAFANIKIO

Mabadiliko Kwenye Blog Zinazoendeshwa Na AMKA CONSULTANTS.

By | June 5, 2015

Habari za leo mpenzi msomaji wa blog za AMKA CONSULTANTS, naamini unaendelea vizuri na harakati zako za kuboresha maisha yako na kufikia mafanikio makubwa. AMKA CONSULTANTS ipo pamoja na wewe kwenye safari hii ya kuboresha maisha yako na inakupatia maarifa na ushauri muhimu utakaokusaidia kwenye safari hii. Kwa kuwa lengo (more…)

Hii Ni Nafasi Ya Mwisho Kabisa, Usiikose Tena.

By | May 2, 2015

Kwanza niwashukuru sana wale wote ambao wameshajiunga na semina ya MAFANIKIO KATIKA BIASHARA  mwaka 2015. Umefanya maamuzi sahihi sana kujiunga na semina hii na utajifunza mambo mazuri ambayo kama utayatumia utaboresha zaidi biashara yako na kufikia mafanikio makubwa. Nimepokea ujumbe kutoka kwa watu wengi jana kusumbuliwa na mtandao hivyo kushindwa (more…)

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutengeneza Biashara Kubwa Kwa Kuanzia Chini Kabisa, Hata Kama Huna Kitu.

By | April 29, 2015

Semina ya mafanikio kupitia biashara mwaka 2015 imebaki siku mbili tu ili uweze kujiunga. Kama unapitia changamoto zozote kwenye biashara yako au hata kama huna changamoto ila ungependa kufikia mafanikio makubwa usikose kujiunga na semina hii. Mwisho wa kujiunga ni ijumaa hii tarehe 01/05/2015. Baada ya hapo hutapata tena nafasi (more…)

Karibu Kwenye Semina Ya Mafanikio Kwenye Biashara Mwaka 2015.

By | April 20, 2015

Huu ni wakati ambao karibu kila mtu anahitaji kuingia kwenye biashara. Haijalishi mtu ameajiriwa au hana ajira, haijalishi kiwango cha elimu mtu alichonacho na wala haijalishi umri wa mtu, kwa sasa kila mtu anahitaji kuwa kwenye biashara. Ajira zimekuwa za shida kupatikana na hata wale wanaozipata bado haziwawezeshi kuyamudu maisha. (more…)

MIAKA MIWILI YA AMKA MTANZANIA; Kwa Nini Ipo Na Itaendelea Kuwepo Na Mambo Mazuri Yanayokuja.

By | April 1, 2015

Tarehe 31/03/2013 ilikuwa ndio siku ya kwanza kwa makala ya kwanza kwenda hewani kwenye mtandao huu wa AMKA MTANZANIA. Kipindi hiko wakati naanzisha mtandao huu mambo hayakuwa kama sasa, watu walikuwa na muamko mdogo wa kusoma habari za aina hii na hata kujisomea vitabu. Leo hii miaka miwili tu mbele, (more…)

Changamoto Inayokusumbua Kwenye Biashara.

By | March 23, 2015

Habari mpenzi msomaji, Naandika kitabu kinachohusu biashara. Hii ni kutokana na kuwepo kwa changamoto nyingi sana zinazozuia watu wengi kuingia kwenye biashara au kufanikiwa zaidi kupitia biashara. Vitabu vingi vya kibiashara havijaangalia upande wa pili wa tatizo ambapo ni mtu mwenyewe. Hivyo kitabu hiki kitaanza na mapinduzi ya mfanyabiashara mwenyewe (more…)

Je Umepata Kitabu Chako?

By | March 23, 2015

Siku kadhaa zilizopita niliweka ujumbe ambao nilikuomba wewe kama msomaji uwatumie watu wa tano kwenye email zao. Na pia niliahidi ukifanya hivyo nitakupa zawadi ya kitabu kinachohusu mabadiliko. Watu wengi walitikia ombi lile na ujumbe ulitumwa kwa watu wengi sana. Jana kitabu kilikamilika na wewe uliyetuma ujumbe kwa wengine ulikuwa (more…)

KITABU; Jinsi Ya Kufaidika Na Mabadiliko Yanayotokea Kwenye Maisha.

By | March 23, 2015

Kama kuna kitu kimoja ambacho tuna uhakika nacho hapa duniani ni kwamba dunia inabadilika kila siku. Ukiangalia historia ya dunia tulikotoka na tulipo sasa kumetokea mabadiliko makubwa sana. Zilianza zama za mawe, zikaja zama za chuma, yakaja mapinduzi ya viwanda na hata sasa tupo kwenye mapinduzi ya kiteknolojia. Jambo moja (more…)

Hizi Ndizo Siku Za Wiki Zenye Bahati Sana, Hakikisha Unaweka MIpngo Yako Kwenye Siku Hizi.

By | March 13, 2015

Ijumaa ni moja ya siku za wiki zenye bahati sana. Ni siku ambayo unaweza kuanza jambo lako kubwa na likafanikiwa sana. Ni siku ambayo unaweza kupata faida kubwa sana kwenye biashara kama utaweka juhudi na maarifa. SOMA; UKURASA WA 39; Jitengenezee Bahati Yako Mwenyewe… Ni siku ambayo unaweza kuweka juhudi (more…)

Kama Unataka Kumaliza Matatizo Yako Ya Fedha Fanya Kitu Hiki Kimoja.

By | February 7, 2015

Karibu mataizo yote ya binadamu chimbuko lake ni fedha. Watu wanachukuiana, watu wanauana na watu wanafanya mambo ya hatari sana kwa ajili ya fedha. Ili kuondokana na matatizo haya mengi, anza kwa kutatua tatizo kuu ambalo ni fedha. Kama unataka kutatua tatizo lako la fedha hasa kwa baadae anza leo (more…)