Tag Archives: KUTANGAZA BIASHARA

BIASHARA LEO; Je Unatangaza Biashara Au Unapiga Kelele Kwenye Mitandao Ya Kijamii?

By | June 18, 2015

Mitandao ya kijamii ni sehemu nzuri sana ya kutangaza biashara yako. Hii ni sehemu ambayo wateja wako wanakuwepo kwa muda mrefu na wanafuatilia mambo mbalimbali. Lakini changamoto moja inakuja kamba wengi wa watu wanaotangaza kwenye mitandao hii, kiuhalisia hawatangazi, bali wanapiga kelele. Na kwa jamii ya sasa, watu hawataki kelele, (more…)

Vitu muhimu vya kuzingatia ili kukuza biashara yako.

By | June 15, 2015

Peter Drucker, aliyekuwa mtaalamu wa usimamizi kwenye biashara, aliwahi kusema kwamba kwa kuwa lengo la biashara ni kutengeneza wateja, biashara yoyote ina majukumu mawili tu ya msingi; masoko na ubunifu. Vitu hivi viwili ndio vinaleta faida kwenye biashara, vingine vyote vinaleta gharama. Leo katika makala hii ya kona ya mjasiriamali (more…)

BIASHARA LEO; Njia TANO Rahisi Za Kutangaza Biashara Yako.

By | April 21, 2015

Hata uwe na bidhaa au huduma bora kiasi gani, kama watu hawajui ipo, huna biashara. Jukumu lako kubwa kwenye biashara ni kuweza kulifikia soko lako. Kila mwenye uhitaji ajue hitaji lake linaweza kutatuliwa wapi. Njia ya uhakika ya kulifikia soko lako ni kupitia matangazo. Katika matangazo mteja anajua kwmaba upo (more…)

BIASHARA LEO; Usitupigie Kelele, Tupe Sababu.

By | April 15, 2015

Ndio akili ya mteja inavyowaza hivi hata kama hakuambii. Biashara za kupiga kelele sasa hivi zimeshapitwa na wakati. Hizi ni zama za biashara za kutoa sababu. Tuambie kwa nini tufanye biashara na wewe. Kupiga kelele. Kupiga kelele ni pale ambapo unatumia nguvu nyingi kutangaza biashara yako, ila unashindwa kujenga mahusiano (more…)

BIASHARA LEO; Kwa Nini Watu Hawawaambii Wengine Kuhusu Biashara Yako.

By | April 4, 2015

Njia bora kabisa ya kutangaza biashara yako ni kushawishi mtu anayenunua kwako au mteja wako kuwaambia wengine kuhusu biashara yako. Yaani mteja wako anapata huduma au bidhaa kwako na anapokuwa na ndugu na jamaa zake anakuwa tayari kuwaambia kama mnataka huduma fulani, nendeni sehemu fulani(yaani kwako). Hii ni njia bora (more…)