MASOMO YA MAUZO

Habari Mwanamafanikio?

Karibu kwenye ukurasa huu maalumu wa masomo ya mauzo ambayo yametolewa kwenye KISIMA CHA MAARIFA.

Bonyeza jina la somo husika kulifungua na kulipakua kwa ajili ya kuendelea kujifunza na kuchukua hatua ili kuweza kuikuza zaidi biashara yako.

 1. UTANGULIZI, LENGO LA NAMBA NA JINSI YA KUPIMA.
 2. AMINI SANA KWENYE KILE UNACHOUZA.
 3. KUWA NA SHAUKU KUBWA.
 4. KUWA NA MPANGILIO WA KILA KITU.
 5. JALI MASLAHI YA MTEJA WAKO.
 6. ULIZA MASWALI ZAIDI.
 7. JUA YALIYO MUHIMU NA YAPE MKAZO.
 8. KUWA MKIMYA NA MSIKILIZAJI.
 9. KUWA MWAMINIFU MARA ZOTE.
 10. IJUE BIASHARA YAKO KWA KINA.
 11. WATHAMINI NA KUWASIFIA WATEJA WAKO.
 12. KUWA NA TABASAMU MARA ZOTE.
 13. KUMBUKA MAJINA NA SURA ZA WATEJA WAKO.
 14. TOA HUDUMA BORA NA ENDELEA KUSAKA WATEJA WAPYA.
 15. KAMILISHA MAUZO.