Tag Archives: TAFAKARI

#TAFAKARI YA LEO; UNACHOPATA…

By | September 30, 2017

Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa sana. Msingi wetu wa maisha ya mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU na KUJITUMA ambapo tunakwenda kufanya makubwa leo na kila siku ya maisha yetu. (more…)

Huu Ndio Ukoma Wa Zama Hizi, Na Jinsi Unavyoweza Kuuepuka.

By | March 17, 2015

Moja ya magonjwa ambayo yamewahi kuisumbua sana dunia ni ugonjwa wa ukoma. Huu ni ugonjwa ulioua watu wengi sana na kuacha wengine wakiwa kwenye hali mbaya sana. Changamoto kubwa ya ugonjwa huu ni kwamba ulikuwa wa kuambukizwa. Yaani ukikaa na mtu mwenye ukoma na wewe unapata ugonjwa huu. Kwa hiyo (more…)

Huu Ni Uwekezaji Wa Uhakika Ambao Hautakuangusha.

By | March 15, 2015

“A man who empties his purse into his head never goes broke.” Kama unatumia kipato chako kujiemdeleza zaidi huwezi kufilisika. Kwa maana hiyo kama una shilingi elfu kumi labda na hujui uifanyie nini. Ushauri wa uhakika na ambao hutausikia popote ni huu. Katafute kitabu kinachohusiana na jambo lolote unalopenda kufanya, (more…)

NAFASI MOJA YA KAZI; Changamkia haraka.

By | March 14, 2015

Kuna mtu anahitaji kufanya mazoezi ya mwili ila ratiba yake imembana sana hivyo anakosa muda wa kufanya mazoezi. Hivyo anatafuta mtu yeyote ambae yupo tayari kumsaidia kufanya mazoezi na atamlipa kiasi atakachohitaji. Kwa hiyo kama unaweza kufanya mazoezi na huyu mtu akanufaika kwenye mwili wake, nafasi ipo. Swali ni je (more…)

TAFAKARI; Unachagua Upande Upi?

By | March 3, 2015

Maisha ni kuchagua, ndio unalijua hili. Kuna wakati ambao unachagua ukijua, na kuna wakati ambao hujui kma umechagua ila unakuwa umeshachaguliwa. Maisha yana pande pili katika kila jambo. Kuna kuishi, kuna kufa. Kuna kuwa na afya, kuna kuumwa. Kuna kupata faida, kuna kupata hasara. Na pia kuna kufanikiwa na kunakushindwa. (more…)