Tag Archives: JE WAJUA?

JE WAJUA; Mamba kumeza mawe.

By | October 22, 2014

Baadhi ya wanyama jamii ya Mamba humeza mawe na kukaa nayo tumboni kwa muda mrefu. Mawe haya huitwa gasrolith.Mawe haya humsaidia mamba mambo yafuatayo;1.  Humsaidia aweze kuwa na uzito utakaowafanya wazame kina kirefu zaidi kwenye maji.2. Humsaidia kusaga chakula tumboni.3. Hufanya tumbo liwe na uzito na kujisikia ameshiba hata kama (more…)

JE WAJUA; Ujerumani Iliua Wagonjwa na Walemavu.

By | October 21, 2014

Wakati wa utawala wa Nazi chini ya Adolf Hitler, ujerumani ilianzisha sera ya kuua watu wote ambao walionekana ni dhaifu.Katika sera hii inasemekana watu zaidi ya laki mbili waliuawa kati ya mwaka 1940 mpaka mwaka 1945.Waliouawa walikuwa ni wagonjwa wasiopona na walemavu.Madaktari walitumika katika zoezi hili.Tukio hili pia limewahi kutokea (more…)

JE WAJUA; Madhara Ya Kula Huku Unaangalia Tv

By | October 9, 2014

Imekuwa ni jambo la kawaida kwa mtu kula huku akiangalia tv, simu au kompyuta.Wakati mwingine mtu anaweza kuwa anakula huku anasoma kitabu, gazeti au jarida.Hiki ni kitu hatari sana kwa afya yako. Tabia hii inakusababishia uzito wa mwili uliozidi(obesity) au kiribatumbo.Hii inatokana na kwamba wakati unakula huku unafanya jambo jingine (more…)

JE WAJUA; Nchi Ya Kwanza Africa Kupata Uhuru.

By | October 7, 2014

Libya ndio nchi ya kwanza Africa Kupata uhuru, na ilipata uhuru wake mwaka 1951, kutoka kwa Witali. Misri ilipata uhuru wake mwaka 1952 kutoka kwa waingereza. Na Ghana ndio nchi ya kwanza kusini mwa jangwa la sahara kupata uhuru wake. Ilipata uhuru mwaka 1957 kutoka kwa waingereza. Je unajua nchi (more…)

JE WAJUA? Kuhusu Bacteria Wanaoishi Kwenye Kinywa Chako.

By | September 29, 2014

Kuna bacteria wengi wanaoishi kwenye kinywa chako zaidi ya idadi wa watu wanaoishi duniani. Bacteria pia wapo kwenye ngozi yako, utumbo mpana na hata sehemu ya uke. Kwa bahati nzuri bacteria hawa hawana madhara na wapo hapo kukukinga na bacteria wabaya. Nakutakia kila la kheri, TUKO PAMOJA Sasa unajua kwamba (more…)