Tag Archives: MAFANIKIO

#TAFAKARI YA LEO; UNACHOPATA…

By | September 30, 2017

Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa sana. Msingi wetu wa maisha ya mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU na KUJITUMA ambapo tunakwenda kufanya makubwa leo na kila siku ya maisha yetu. (more…)

UKURASA WA 202; Acha Kujitengenezea Maadui Mwenyewe.

By | July 21, 2015

Inapokuja kwenye tabia halisi za binadamu huwa napenda kuweka unafiki pembeni. Ni kawaida yangu kuweka unafiki pembeni kwenye mambo yote ya kimaisha, wanafiki hawafanikiwi, hivyo na wewe usijiingize kwenye unafiki. Sawa, sasa tabia ya asili ya binadamu ni ubinafsi, na kupenda kupata zaidi ya wengine. Unahitaji kujitambua kwa kiasi cha (more…)

UKURASA WA 200; Wewe Sio Mtabiri Mzuri, Hivyo Acha Kujiogopesha.

By | July 19, 2015

Umekuwa unatabiri mambo mengi sana kuhusu maisha yako, lakini je ni mambo mangapi uliyotabiri yametokea? Ni mambo mangapi ambayo ulikuwa unayahofia, yanakunyima usingizi yametokea kweli? Nafikiri ni machache sana, kama hata yapo. Ukweli ni kwamba wewe sio mtabiri mzuri, na wala hutakuwa mtabiri mzuri kadiri siku zinavyokwenda. Umekuwa ukijitabiria kwamba (more…)

UKURASA WA 199; Hakika Ukifa Masikini Umejitakia Mwenyewe.

By | July 18, 2015

Katika ulimwengu tunaoishi sasa, kama utashindwa kufikia mafanikio unayotaka kwenye maisha yako basi umeamua wewe mwenyewe. Kuna kauli moja maarufu ambayo imewahi kusemwa na tajiri namba moja duniani ndugu Bill Gates, alisema kwamba kuzaliwa masikini sio kosa lako, ila kufa masikini ni kosa lako. Nakubaliana naye kwa asilimia mia moja. (more…)

TABIA ZA MAFANIKIO; Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Wakati Unajenga Tabia Za Mafanikio.

By | July 7, 2015

Mafanikio ni tabia, vingine vyote ni nyongeza tu.       Unaweza kuiweka kauli hiyo mahali ambapo unaweza kuiona kila siku ili iwe msisitizo kwako kuchukua hatua ya kujijenge atabia nzuri na zitakazokufikisha kwenye mafanikio. Kwanza kabisa tunaanza kwa kujenga tabia, halafu baadae ytabia zinatujenga. Kwa mfano kama umewahi kujifunz (more…)

Mambo Matano Yatakayokuwezesha Kushirikiana Vizuri Na Watu Kwenye Kazi Na Kufikia Mafanikio Makubwa.

By | June 24, 2015

Binadamu ni viumbe ambao tunazungukwa na viumbe wenzetu ambao ni binadamu pia. Hakuna njia ambayo unaweza kuitumia na ukaweza kupata mafanikio makubwa kwenye maisha yako bila ya kumhusisha binadamu mwingine. Tunategemeana sana ili kuweza kuwa na maisha bora na kufikia mafanikio makubwa. Katika maeneo yetu ya kazi iwe umeajiriwa, umejiajiri (more…)

UCHAMBUZI WA KITABU; EAT THAT FROG, JINSI YA KUPANGILIA MUDA WAKO NA KUEPUKA TABIA YA KUAHIRISHA MAMBO.

By | June 11, 2015

Karibu kwenye kipengele hiki cha uchambuzi wa vitabu ambapo kila wiki unapata uchambuzi wa kitabu kimoja kinachokupatia mbinu na maarifa ya kuweza kufikia mafanikio makubwa. Mchakato wa kufikia mafanikio sio rahisi hata kidogo. Kuna vitu vingi sana vinatega muda wako na hivyo usipokuwa makini utajikuta unakosa muda w akufanya yale (more…)