3311; Tatizo sahihi na kazi.

By | January 24, 2024
3311; Tatizo sahihi na kazi.Rafiki yangu mpendwa,Tamaa ya kupata mafanikio makubwa kwa njia za mkato ni kitu ambacho hakijawahi kuisha kwa watu.Kwenye kila zama huwa kunakuwa na njia za mkato ambazo huwa zinaibuliwa na kuonekana ni njia bora ya kufanikiwa bila kuweka kazi.Lakini njia hizo hazijawahi kufanya kazi.Njia ya uhakika

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz