Tag Archives: BIASHARA YENYE MAFANIKIO.

BIASHARA LEO; Sikiliza Hawa Watu Wanaokupa Mawazo Ya Biashara Kila Siku.

By | July 3, 2015

Nikimaliza kuandika hapa na mtu akasoma, bado ataniandikia kwamba anatafuta wazo la biashara. Yaani wazo la biashara limechukuliwa kama ni kitu kikubwa sana ambacho watu wanapigana nacho ili wakipate. Ni kama ukishapata wazo basi mambo yako yote yamenyooka. Nimekuwa nikisema mara kwa mara mwamba wazo la biashara linaanza na wewe (more…)

BIASHARA LEO; Kama Biashara Yako Isingekuwepo….

By | May 19, 2015

Leo kaa chini na ujiulize na kupata jibu la swali lifuatalo; Kama biashara yako isingekuwepo, je watu wanaokuzunguka wangekuwa katika hali gani? Je dunia ingekuwa kwenye hali gani? Kama jibu ni hakuna tofauti kati ya kuwepo au kutokuwepo kwa biashara yako, basi huna biashara, yaani upo tu unasukuma siku. SOMA; (more…)

BIASHARA LEO; Jambo Moja Muhimu La Kuzingatia Kwenye Upangaji Wa Bei.

By | May 18, 2015

Kama kuna maji ya makampuni matatu sokoni na maji ya kampuni moja yakawa yanauzwa kwa bei rahisi kuliko ya makampuni mengine, wateja watanunua yapi? Haihitaji elimu kubwa kujua kwamba watanunua yale maji yanayouzwa kwa bei rahisi. Wateja wengi watanunua maji hayo. Hii ni kwa sababu maji hayatofautiani sana, maji ni (more…)

BIASHARA LEO; Fanya Kitu Hiki Kimoja Tu, Achana Na Vingine Vyote.

By | April 13, 2015

Kuna kitu kimoja ukikifanya kwenye biashara yako, utaleta mabadiliko makubwa sana. Utaikuza biashara yako na mambo mengine yote yatakwenda vizuri. Kwa kufanya kitu hiki kimoja na ukakifanya vizuri unajiweka wkenye nafasi ya kuweza kufikia mafanikio makubwa sana hata kama biashara unayofanya ina ushindani mkubwa. SOMA; Hiki Ndio Unachotakiwa Kufanya. Je (more…)

BIASHARA LEO; Biashara Yako Ni Matatizo Ya Watu…

By | April 10, 2015

Mbinu bora kabisa itakayokuwezesha wewe kufanya biashara yako wka mafanikio ni kubadili mtazamo wako katika biashara unayofanya. Tulishakubaliana kwamba lengo la biashara sio kupata faida bali kutengeneza wateja wa kudumu, kama tulivyoona hapa; Lengo La Biashara Sio Kupata Faida, Bali Ni Hili Hapa. Sasa leo tutajifunza mbinu nyingine muhimu ambayo (more…)