BIASHARA LEO; Kuvumilia Na Kuridhika Kunaua Biashara Nyingi Sana.

By | October 16, 2017
Kwenye maisha, huwa tunapata kile ambacho tupo tayari kukivumilia. Ndiyo maana unaweza kukuta mtu ana hali ngumu, na angeweza kuchukua hatua kuwa bora ila hafanyi hivyo kwa sababu anaweza kuvumilia hali hiyo ngumu. Angekuwa hawezi kuvumilia, angeshachukua hatua kuondokana na hali hiyo. Hivyo pia ndivyo ilivyo kwenye biashara, biashara yetu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In