BIASHARA LEO; Biashara Siyo Fedha, Ni Watu…

By | August 31, 2018
Watu wengi wanapofikiria kuhusu biashara, cha kwanza wanachofikiria ni fedha. Wanasema hawajaingia kwenye biashara kwa sababu hawana mtaji. Wanasema hawawezi kukuza biashara zao kwa sababu hawana fedha za kutosha. Wanasema biashara zao zinakufa kwa sababu hakuna fedha. Kufikiria biashara kwa upande wa fedha pekee ni kosa ambalo limewazuia wengi kuanzisha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In