Kesho hazifikagi…

By | April 20, 2021
“Whatever you want to do, do it now. There are only so many tomorrows.” – Michael Landon Kuna kesho ambayo hutaiona, hujui ni ipi, hivyo usizichukulie poa leo ulizonazo. Kila unachotaka kufanya, kifanye leo, kwenye muda ulionao. Hizo kesho huwa hazifiki na kuna kesho ambayo hutaifikia ambayo huijui. Tumia vizuri

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In