Njia Moja Ya Uhakika Ya Kuishinda Hofu.

By | March 28, 2015
Ili kuishinda hofu, rudisha mawazo yako kwenye wakati uliopo sasa. Maana hofu kubwa unaipata pale unapofikiri mambo yaliyopita ambayo huwezi kuyabadili na kuwaza mambo yajayo ambayo huwezi kuyabadili pia. Acha kuwaza mambo ambayo yameshapita, huwezi kuyabadili. Yatakuumiza na kukupa hofu kubwa. Acha kufikiria mambo yajayo na kuyahofia. Bado hujayafikia na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In