Mbinu za kisaikolijia za kistoa – KUTAFAKARI/TAHAJUDI.

By | April 9, 2017
  Mwanafalsafa Seneca anatukumbusha kwamba kila siku tunahitaji kupata muda wa kutafakari kuhusu maisha yetu na kile tulichofanya siku nzima. Mwisho wa siku, tunahitaji kupata muda wa kujiuliza siku yetu imekwendaje na yale tuliyofanya tumefanyaje. Ni yapi ambayo tumefanya vizuri, Yapi ambayo tumekosea na Yapi ambayo tunaweza kuboresha zaidi. Epictetus

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In