Ushauri wa kistoa – JUKUMU LA KUPENDA UTU.

By | April 9, 2017
Sisi binadamu hatupo hapa duniani peke yetu, tumezungukwa na wenzetu ambao wanaweza kuwa faida kwetu kwa upendo na urafiki. Pia watu hawa wanaweza kuwa chanzo cha hisia hasi kwetu kama hasira na wivu. Watu wanaweza kufanya mambo ya kutuudhi au kushindwa kufanya mambo na ikapelekea sisi kuumia. Marcus Aurelius anasema,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In