UKURASA WA 1064; Kama Unataka Kutengeneza Mabadiliko Ya Kudumu, Tengeneza Kwanza Utamaduni…

By | November 29, 2017
Tunapenda kupiga hatua kwenye maisha, tunapenda kufanikiwa, lakini kinachotukwamisha mara nyingi ni njia tunazotumia kupiga hatua na kufikia yale mafanikio tunayotaka. Kwa mfano, kuendelea kufanya kile ambacho mtu anafanya, kwa njia ambayo anafanya kutaendelea kuzalisha matokeo ambayo amekuwa anapata. Haihitaji shahada kujua kwamba kama utaendelea kufanya kazi unayofanya, kwa namna

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In