UKURASA WA 1070; Kupata Fedha Kwa Muda Mrefu Ni Zao La Maono Makubwa…

By | December 5, 2017
Tuongee jambo moja muhimu sana, ambalo naona wengi tunalisahau hasa kwenye zama hizi za utitiri wa fursa ambazo zinaonekana kuwawezesha watu kupata fedha. Kuna kupata fedha mara moja, au mara chache na kuna kupata fedha kwa muda mrefu. Yaani haya mawili ni sawa na mtu unakinga maji kwa mvua inayonyesha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In