UKURASA WA 1106; Wale Unaowavumilia, Ndiyo Wanaokutengeneza…

By | January 10, 2018
Unapokutana na marafiki au jamaa zako, huwa mijadala yenu imetawaliwa na nini? Kwa wengi, mijadala wanayokuwa nayo wanapokutana imegawanyika kwenye makundi mawili, kutoroka na kujisumbua. Mijadala ya kutoroka ni ile ya kulalamika na kulaumu, hii ni mijadala inayotufanya tuone kwamba sisi hatuna tatizo bali wengine ndiyo wanatuletea matatizo. Kwa mijadala

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In