Category Archives: ONGEA NA COACH MAKIRITA

Kupitia makala hizi unaongea moja kw amoja na kocha wako MAKIRITA AMANI. Hapa unapata mambo mazuri kwa ajili yako ili uweze kuboresha maisha yako na kufikia mafanikio makubwa.

ONGEA NA COACH; Kitu Kimoja Muhimu Ninachotaka Wewe Ukijue Kila Siku.

By | October 11, 2016

Habari za leo rafiki yangu, Karibu tena kwenye mazungumzo yetu ya leo ambapo mimi na wewe rafiki yangu tunashirikishana yale muhimu kwa maisha yetu ya mafanikio. Leo nina mengi ya kukushirikisha lakini tutaanza na moja muhimu sana ninalotaka ulijue na kulisimamia kila siku kwenye maisha yako. Kwa kujua hiki na (more…)

ONGEA NA KOCHA; Jambo Muhimu La Kuzingatia Kabla Hujahukumu.

By | May 24, 2016

Habari za leo rafiki? Karibu kwenye mazungumzo yetu ambapo tunakwenda kushirikishana mambo mbalimbali ambayo ni muhimu kwetu ili kuweza kuishi maisha bora, ya furaha na mafanikio makubwa. Katika mazungumzo ya leo tutakwenda kuangalia upande wa hukumu ambazo tumekuwa tunazitoa kila siku. Kama kuna kitu ambacho binadamu tupo vizuri, basi ni (more…)

ONGEA NA KOCHA; Siyo Kwa Ajili Yao, Ni Kwa Ajili Yako Mwenyewe.

By | April 26, 2016

Karibu tena rafiki yangu kwenye maongezi haya kati yangu mimi na wewe. Haya ni maongezi ambayo tunagusia maeneo mbalimbali ya maisha ambapo tunaweza kujifunza na kuwa bora zaidi. Asili yetu binadamu ni kuendelea, yaani kutokubaki pale ulipo sasa. Unahitaji kuwa bora zaidi leo kuliko ulivyokuwa jana. Ndiyo maana watu wengi (more…)

ONGEA NA KOCHA; Jinsi Ya Kujijengea Kinga Ya Mafanikio.

By | April 19, 2016

Habari za leo rafiki? Karibu tena kwenye mazungumzo yetu kwa siku ya leo, ambapo tunakumbushana mambo muhimu katika safari yetu ya maisha ya mafanikio. Leo nataka tugusie eneo muhimu sana ambalo ni kujijengea kinga ya mafanikio. Yaani kuwa na kinga ambayo itakuwezesha kufikia mafanikio bila ya kuzuiwa na chochote kwenye (more…)

ONGEA NA COACH; Ni Nani Huyo Alikudanganya?

By | March 22, 2016

Habari za leo rafiki? Naamini uko vizuri sana, mimi pia niko vizuri sana na naendelea kuweka juhudi kuhakikisha maisha yangu na yako wewe rafiki yangu yanaendelea kuwa bora sana. Nina hakika na kwa upande wako unaendelea kuweka juhudi, hongera sana kwa hilo. Leo katika mazungumzo yetu haya nataka kugusia swala (more…)

ONGEANA COACH; Nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi.

By | March 15, 2016

Habari rafiki yangu? Unaendeleaje na harakati za kuyafanya maisha yako kuwa bora zaidi? Nina hakika uko vizuri na licha ya changamoto na vikwazo ulivyopitia, bado hujakata tamaa, unaendelea kuweka juhudi kwa sababu unajua ni kitu gani unataka kwenye maisha yako na unajua kuwa utakipata. Lakini pia huenda umejaribu na kukutana (more…)

ONGEA NA COACH; Kuwa Mwema Kwa Watu Ambao Hawahitaji Wema Wako.

By | March 8, 2016

Habari za wakati huu rafiki? Naamini uko vizuri sana na unaendelea kuyafanya maisha yako kuwa bora kila siku. Hongera sana kwa hili kwa sababu hakuna namna nyingine ya kuishi maisha ya furaha kama hayawi bora. Hivyo jukumu lako la kila siku ni kuhakikisha unakuwa na maisha bora zaidi. Karibu tena (more…)

ONGEA NA KOCHA; Kila Kitu Ni Kibovu, Inategemea Uko Upande Upi.

By | February 16, 2016

Habari za leo rafiki? Naamini uko vizuri na unaendelea kuweka juhudi kwenye kile ulichochagua kufanya kwenye maisha yako, maana hakuna namna nyingine bali kuweka juhudi na maarifa huku ukijijengea nidhamu ya hali ya juu. Kwa njia hii hakuna chochote ambacho kitakushinda. Leo katika mazungumzo yangu mimi na wewe nataka tuguse (more…)

ONGEA NA KOCHA; Tabia Moja Inayokuingiza Kwenye Matatizo Na Kukunyima Fursa Nyingi.

By | February 9, 2016

Habari za wakati huu rafiki? Karibu tena kwenye mazungumzo yetu haya kati yangu mimi na wewe rafiki yangu. Ni muda mrefu hatujapata nafasi ya kufanya mazungumzo haya, tangu mwaka huu uanze. Nimekuwa na mambo mengi kidogo tangu mwaka umeanza, tumefanya semina ya malengo kwa njia ya mtandao ambayo imekuwa na (more…)

Pamoja Na mengine yote turudi kwenye jambo hili la msingi sana.

By | December 10, 2015

Habari za wakati huu rafiki? Karibu tena kwenye mazungumzo yetu haya muhimu sana kati yangu mimi na wewe rafiki yangu. Na kupitia mazungumzo haya ya leo naomba nikukumbushe kitu kimoja muhimu sana ambacho tumekuwa tunakiongea mara kwa mara. Pamoja na mipango mizuri ambayo unaweka kila siku. Pamoja na mbinu mpya (more…)