Category Archives: AFYA NA USTAWI

Hapa unapata makala na mafunzo muhimu ya kuweza kuwa na afya bora, kuepuka magonjwa na kuweza kuwa na ustawi kwenye afya ya mwili, akili na hata kiroho.

BIASHARA LEO; Tafuta Watu Ambao Tayari Wana Uhitaji…

By | September 15, 2018

Kuna njia mbili za kuingia kwenye biashara. Moja; unaweza kuanza na suluhisho, kisha ukatafuta tatizo ambalo suluhisho lako linatatua. Mbili; unaweza kuanza na tatizo, kisha ukatafuta suluhisho ambalo linatatua tatizo hilo. Njia zote ni sahihi, ila pale unapoanzia biashara chini, na ukiwa huna rasilimali za kutosha, unahitaji kuanza na tatizo (more…)