BIASHARA LEO; Hakuna Aliyekulazimisha Uje Kununua Hapa, Umekuja Mwenyewe…

By | September 23, 2018
Fikiria umeenda kwenye biashara, una shida ya kitu fulani, umeoneshwa kile pale, bei yake kiasi fulani. Unataka kujua zaidi kama kitakusaidia, muuzaji anakuambia hebu usinisumbue, kama unataka chukua kama hutaki acha. Utajisikiaje? Najua utajisikia vibaya sana, na kwa kuwa sasa hivi wauzaji wa chochote unachotaka ni wengi, basi utaenda kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz