Category Archives: VITABU

Pata vitabu vya biashara, ujasiriamali, mafanikio na maisha kwa ujumla.

KITABU; PATA MASAA MAWILI YA ZIADA KILA SIKU.

By | February 3, 2017

Habari za leo rafiki yangu? Moja ya changamoto kubwa ambayo watu wengi wamekuwa wanasema inawazuia kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yao ni muda. Watu wana mipango mikubwa na mizuri sana, lakini wanakosa muda wa kutekeleza mipango yao hiyo mizuri. Watu wanapanga kuanza biashara zao ili kuweza kujitengenezea uhuru wa kifedha, (more…)

Utaratibu Wa Kupata Kitabu Cha BIASHARA NDANI YA AJIRA.

By | October 21, 2016

Habari rafiki yangu katika mafanikio? Nichukue nafasi hii kukupa habari njema ya kwamba kitabu BIASHARA NDANI YA AJIRA, jinsi ya kuanzisha na kukuza biashara yako ukiwa bado umeajiriwa sasa kinapatikana katika mfumo wa kuchapishwa. Mwanzo kitabu hiki kiliatikana katika mfumo wa nakala tete (softcopy) ila sasa unaweza kukipata kama kitabu (more…)

KITABU; MIMI NI MSHINDI, Ahadi Yangu Na Nafsi Yangu.

By | July 7, 2016

Karibu rafiki upate kitabu MIMI NI MSHINDI, Ahadi yangu na nafsi yangu. Kitabu mimi ni mshindi kinakuwezesha wewe kuishi maisha ya ushindi, maisha ambayo yanakutofautisha wewe na wengine wengi ambao wanashindwa kufikia mafanikio makubwa. Ukiangalia maisha ya washindi na maisha ya wale ambao wanashindwa yapo tofauti kabisa. Kuna namna ambavyo (more…)

KITABU; BIASHARA NDANI YA AJIRA, JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA YAKO UKIWA BADO UMEAJIRIWA.

By | June 11, 2016

BIASHARA NDANI YA AJIRA ni kitabu ambacho kinakupa mbinu za kuanzisha na kukuza biashara yako ukiwa bado umeajiriwa. Ni kitabu ambacho kila mwajiriwa anapaswa kukisoma kwa sababu kina maarifa muhimu ya kumwezesha mwajiriwa kujikomboa kiuchumi. Wote ni mashahidi kwamba hali ya ajira kwa sasa imebadilika sana. Na kipato cha ajira (more…)

KITABU; KURASA ZA MAISHA YA MAFANIKIO, TOLEO LA KWANZA 2016.

By | June 11, 2016

Habari njema kwa wana mafanikio wote, kitabu chako ambacho ndio mwongozo wa maisha ya mafanikio kwa mwaka huu 2016 tayari kimetoka. Kitabu hiki kinaitwa KURASA ZA MAISHA YA MAFANIKIO. Hiki ni kitabu ambacho kinakupatia wewe maarifa sahihi ya kuishi maisha ya mafanikio, kwa vyovyote vile unavyoyapima mafanikio kwenye maisha yako. (more…)

KITABU; JINSI YA KUFAIDIKA NA MABADILIKO YANAYOTOKEA KWENYE MAISHA.

By | June 11, 2016

Kama kuna kitu kimoja ambacho tuna uhakika nacho hapa duniani ni kwamba dunia inabadilika kila siku. Ukiangalia historia ya dunia tulikotoka na tulipo sasa kumetokea mabadiliko makubwa sana. Zilianza zama za mawe, zikaja zama za chuma, yakaja mapinduzi ya viwanda na hata sasa tupo kwenye mapinduzi ya kiteknolojia. Jambo moja (more…)

KITABU; JINSI YA KUTENGENEZA FEDHA KWENYE MTANDAO KWA KUTUMIA BLOG.

By | June 11, 2016

Tunaishi kwenye ulimwengu wa zama za taarifa. Katika ulimwengu huu wale wenye taarifa sahihi ndio wanaonufaika kuliko wale ambao hawana taarifa sahihi. Pia katika ulimwengu huu taarifa watu wengi wameweza kunufaika kwa kuuza taarifa ambazo wanazo na wengine wanazihitaji. Je na wewe upo tayari kunufaika na taarifa ulizonazo, ambazo zinaweza (more…)

KITABU; KWA NINI MPAKA SASA WEWE NI SIO TAJIRI.

By | June 11, 2016

Madhumuni ya kuandika kitabu hiki ni kuwasaidia wale wote wenye malengo ya kufanikiwa kwenye maisha yao na kuwa matajiri. Kwa bahati mbaya sana kwenye mfumo wa elimu hakuna sehemu ambapo tunafundishwa somo linalohusiana na kutengeneza utajiri. Wachache wanaojua siri za kupata utajiri wamekuwa wakinufaika nazo na wengi ambao hawajui siri (more…)