Category Archives: #GHAHAWA

💥 #GHAHAWA ☕ ☕; UNA UHAKIKA HULINGANISHI?

By | May 25, 2017

Habari za siku yako ya leo rafiki? Je yapi makubwa uliyofanya leo? Na zipi changamoto zimekufanya ujifunze zaidi? Usisahau kupitia haya kabla hujamaliza siku hii nzuri. Karibu kwenye #GHAHAWA ☕ ☕ jioni ya leo, Kupitia ghahawa tunachangamsha akili zetu ili kuweza kufikiri sawasawa na kuacha kufanya makosa yanayotugharimu. Leo nianze (more…)

💥 #GHAHAWA ☕ ☕; MAMLAKA ZINAWEZA KUKUPOTOSHA…

By | May 24, 2017

Hongera kwa siku hii nzuri ya leo rafiki. Umeshinda mengi na kujifunza mengi siku ya leo. Hakikisha unakwenda kuyafanyia yale uliyojifunza ili uweze kuwa bora zaidi. Karibu kwenye #GHAHAWA ☕ ☕ jioni ya leo, tuchangamshe akili zetu kwa kutikisa fikra zetu kidogo. Yapo maamuzi mengi ambayo tumekuwa tunafanya bila ya (more…)

💥 #GHAHAWA ☕ ☕; UNAONA UNACHOTAKA KUONA…

By | May 23, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Nina imani umeshinda mengi leo, na kujifunza mengi pia. Kwa yale uliyoshindwa, hujashindwa bado kama umejifunza kitu, na hivyo kesho nenda kaweke juhudi zaidi. Karibu kwenye #GHAHAWA yetu jioni ya leo ambapo tunapeana chakula cha fikra ili kuweza kuweka (more…)

💥 #GHAHAWA☕☕; USIPOKEE ZAWADI ZA BURE…

By | May 22, 2017

Habari za jioni rafiki? Hongera kwa siku hii njema uliyokuwa nayo leo? Je ni ushindi gani umepeta leo? Yapi umejifunza leo? Haya ni maswali mawili ya kujibu ili kuimaliza leo vizuri. Karibu kwenye #GHAHAWA yetu jioni ya leo, tushirikishane yale machache muhimu ya kutuwezesha kufikiri kwa makini, na kutoruhusu hisia (more…)

💥 #GHAHAWA ☕; SAHAU GHARAMA AMBAZO UMESHAINGIA…

By | May 18, 2017

Hongera rafiki kwa siku hii nzuri ya leo. Nina imani umeimaliza siku yako ya leo vizuri, ukiwa na mengi ambayo umekamilisha na kujifunza pia. Nikupe hongera kwa hilo. Nachukua nafasi hii kukukaribisha kwenye #GHAHAWA ya leo ambapo tunaendelea kuangalia namna tunavyofanya makosa kwenye kufikiri kwetu. Makosa haya ya kufikiri yanatufanya (more…)

💥 #GHAHAWA; KAMA WATU MILIONI 50 WATASEMA KITU CHA KIJINGA, BADO NI CHA KIJINGA.

By | May 15, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nzuri sana ya leo. Nina imani kubwa yapo makubwa uliyofanya leo, na pia yapo mengi uliyojifunza. Nikukumbushe kutosahau chochote ulichojifunza. Kwenye #GHAHAWA yetu ya leo tunakwenda kuangalia namna tunavyoponzwa na kundi kubwa, kufanya kitu ambacho siyo sahihi. Kwa mfano umetoka nyumbani na unakwenda kwenye (more…)

💥 #GHAHAWA; AKILI INATENGENEZA KILE UNACHOWAZA….

By | May 11, 2017

Habari rafiki kwa kuimaliza siku hii nzuri ya leo. Nina hakika yapo mengi umeshinda leo, na pia yapo ambayo umejifunza, ambayo wengi wanasema wameshindwa. Ila wewe hujashindwa, umejifunza na kesho utafanya kwa ubora zaidi. Karibu kwenye #GHAHAWA jioni ya leo, ambapo tunakwenda kuangalia makosa ambayo tumekuwa tunafanya kwenye kufikiri. Akili (more…)

💥 #GHAHAWA; UNACHOONA SIYO KINACHOSABABISHA….

By | May 10, 2017

Hongera rafiki kwa mapambano ya siku ya leo. Nina hakika umeweka juhudi za kutosha kadiri ya uwezo wako. Na pale ambapo mambo hayakwenda sawa, kuna kesho, hakikisha unafanya kwa ubora zaidi. Jioni hii karibu kwenye #GHAHAWA ambapo tunashirikishana makosa tunayofanya kwenye kufikiri na namna ya kufikiri sawasawa. Najua kila mmoja (more…)

💥 #GHAHAWA; WALIOPONA NDIYO WANAOANDIKA…

By | May 8, 2017

Hongera kwa siku ya leo rafiki yangu, Najua yapo mengi umejifunza na zipo changamoto umekutana nazo. Hakikisha kila ulichopitia leo, kinakuwa somo kwako hapo kesho, ili uwe bora zaidi. Karibu kwenye #GHAHAWA leo tuangalie namna tunavyokosea kufikiri na hatimaye kufanya maamuzi. Hadithi za watu waliofanikiwa zipo kila mahali, Hadithi za (more…)