Category Archives: MAFANIKIO NA HAMASA

Njia Nzuri Ya Kusema HAPANA Kistaarabu, Kwa Wale Ambao Hawawezi Kusema Hapana.

By | May 13, 2017

Moja ya tabia zinazotuzuia kufanikiwa, ni tabia yetu ya kusema ndiyo kwenye kila kitu ambacho tunaombwa na wengine. Katika makala ya mambo manne yanayokuzuia kufanikiwa (unaweza kuisoma kwa kubonyeza maandishi haya) nilieleza kwamba hujawa na roho mbaya vya kutosha. Nikikueleza umuhimu wa kusema hapana kwa yale mambo ambayo wengine wanakutaka (more…)

Jinsi Unavyoweza Kuwa Mwaminifu Kwenye Ulimwengu Wa Sasa Uliojaa Kila Aina Ya Hila.

By | May 6, 2017

Msingi wetu mkuu tunaouishi kwenye KISIMA CHA MAARIFA ni NIDHAMU, UADILIFU na KUJITUMA. Hizi ni nguzo tatu muhimu sana kwenye mafanikio ya maisha yetu, kuanzia kwenye kazi, biashara, mahusiano, afya na kila eneo la maisha yetu. Uadilifu unaendana sana na uaminifu, japo siyo kitu kimoja. Uaminifu ni kile unachosema na (more…)

FURSA NDANI YA TATIZO; Mambo Matano(05) Ya Kufanya Pale Unapokuwa Umekwama.

By | May 5, 2017

Waswahili wanasema, mipango siyo matumizi. Wakiwa na maana kwamba unaweza kupanga sana, lakini inapofika kwenye utekeleaji, mambo yanaweza kwenda tofauti na ulivyotegemea. Na kwa uzoefu wangu na wengine ambao nimekuwa nawaangalia, mara nyingi sana mambo huenda tofauti kabisa na mategemeo ambayo watu wanakuwa nayo. Inapofika hali kama hii, wengi hukata (more…)

HEKIMA; Maana Yake, Faida Zake Na Mambo 11 Ya Kufanya Ili Uwe Na Hekima.

By | August 10, 2016

Hekima ni uwezo wa kufikiri na kutenda kwa kutumia ujuzi, uzoefu, uelewa na ufahamu ili kupata matokeo bora kwako mwenyewe na kwa wengine pia. Hekima inahusisha kuwa na ujuzi au uelewa wa jambo, kutumia uzoefu ambao mtu unao kwenye jambo hilo na kisha kufanya maamuzi ambayo ni bora. Hekima ni (more…)

WORLD CLASS; Mbinu Za Kisaikolojia Za Kuidanganya Akili Yako Ili Uweze Kufanya Kazi Zaidi Hata Kama Umechoka

By | November 25, 2015

Hakuna ubishi kwamba ili uweze kufikia mafanikio makubwa sana ni lazima uweze kufanya kazi zaidi ya kawaida. Ni lazima uweze kujitoa zaidi, kufanya kazi kubwa na kuwa tayari kwenda hatua ya ziada hata kama wengine hawawezi kufanya hivyo. Kama bado unakataa hili, kama bado hujalichukua hili kwenye nafsi yako, ninachoweza (more…)

WORLD CLASS; Dalili Saba Kwamba Tayari Wewe Una Mtizamo Chanya Utakaokufikisha Kwenye Mafanikio Makubwa.

By | November 11, 2015

Ni ukweli usiopingika kwamba msingi wa kwanza na muhimu sana wa wewe kuweza kufikia mafanikio makubwa ni mtazamo chanya. Unaweza kufanya kazi kwa juhudi kubwa na maarifa, ila kama mtizamo wako haupo sahihi, huwezi kufikia mafanikio makubwa. Mafanikio yoyote makubwa yanaanzia kwenye mtizamo wako kwanza na kisha ndio yanajitokeza kwenye (more…)

Hizi Ni Sababu Kwa Nini Baadhi Ya Watu Wanaopata Fedha Nyingi Huishia Kufa Masikini, Na Hatua Za Wewe Kuchukua.

By | November 4, 2015

Linapokuja swala la fedha, kuna misingi mitatu muhimu sana kuhusu fedha ambayo kila mtu anatakiwa kuijua. Msingi wa kwanza ni jinsi ya kutengeneza fedha au kutafuta fedha. Msingi huu wengi kidogo wanaujua. Kila mtu anajua ni kitu gani afanye ili aweze kupata fedha. Japo katika njia hizi kuna ambazo ni (more…)

Mambo Kumi(10) Muhimu Usiyojua Kuhusu Mafanikio, Na Jinsi Yanavyokurudisha Nyuma.

By | July 14, 2015

Najua umeshasoma makala nyingi sana kuhusu mafanikio, makala ambazo zinasema mbinu hizi za mafanikio mbinu zile za mafanikio. Na unapoona makala nyingine tena inayokuambia kuna mambo kumi usiyoyajua kuhusu mafanikio, unaweza usiamini. Lakini twende pamoja na utagundua kwamba mambo haya kumi kuna ambayo huyajui kabisa na kuna ambayo unayajua ila (more…)

TABIA ZA MAFANIKIO; Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Wakati Unajenga Tabia Za Mafanikio.

By | July 7, 2015

Mafanikio ni tabia, vingine vyote ni nyongeza tu.       Unaweza kuiweka kauli hiyo mahali ambapo unaweza kuiona kila siku ili iwe msisitizo kwako kuchukua hatua ya kujijenge atabia nzuri na zitakazokufikisha kwenye mafanikio. Kwanza kabisa tunaanza kwa kujenga tabia, halafu baadae ytabia zinatujenga. Kwa mfano kama umewahi kujifunz (more…)

Mambo Matano Yatakayokuwezesha Kushirikiana Vizuri Na Watu Kwenye Kazi Na Kufikia Mafanikio Makubwa.

By | June 24, 2015

Binadamu ni viumbe ambao tunazungukwa na viumbe wenzetu ambao ni binadamu pia. Hakuna njia ambayo unaweza kuitumia na ukaweza kupata mafanikio makubwa kwenye maisha yako bila ya kumhusisha binadamu mwingine. Tunategemeana sana ili kuweza kuwa na maisha bora na kufikia mafanikio makubwa. Katika maeneo yetu ya kazi iwe umeajiriwa, umejiajiri (more…)