Category Archives: #KURASA_KUMI ZA KITABU KILA SIKU

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Marcus Aurelius, Mtawala Wa Roma Na Mstoa.

By | November 21, 2017

KITABU; Meditations / Marcus Aurelius. UKURASA; 1 – 10. Marcus Aurelius, aliyekuwa mtawala wa Roma kati ya mwaka 161 mpaka kifo chake mwaka 180 anaandikwa kama mmoja wa watawala watano bora kabisa wa Utawala Wa Roma. Marcus alizaliwa katika familia ya kawaida na baada ya wazazi wake wake kufariki aliasiliwa (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Sifa Aliyoacha Leonardo da Vinci

By | November 20, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 174 – 183. Katika ulimwengu wa sasa ambao watu wanabobea kwenye mambo machache, yaani mtu anajua zaidi na zaidi kwenye maeneo machache, Leonardo anabaki na sifa ya kubobea kwenye kila kitu. Leonardo alikuwa msanii, amechora picha nzuri (more…)

KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Maadili Ya Leonardo na Ushauri Wa Maisha Bora.

By | November 19, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 164 – 173. Licha ya kuwa msanii na mwanasayansi, Leonardo da Vinci pia alikuwa mshauri wa mambo mbalimbali ikiwepo imani, mahusiano na hata maadili. Ufuatao ni ushauri wa Leonardo kuhusu kuwa na maisha bora. KUHUSU MALI NA (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; KILA KITU KIPO NDANI YA KILA KITU…

By | November 18, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 154 – 163. Leonardo aliwahi kusema kwamba KILA KITU KIPO NDANI YA KILA KITU, KINATOKA NDANI YA KILA KITU NA KINARUDI KWENYE KILA KITU. Kauli hii ilimaanisha kwamba, dunia imeungana na dunia ni kitu kimoja. Kila kitu (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Afya Bora Ni Hitaji La Fikra Bora…

By | November 17, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 144 – 153. Huwezi kutenganisha mwili na akili, Mwili ukiwa na afya bora, akili inaweza kufikiri kwa kina. Mwili ukiwa na afya mbovu, akili haiwezi kufikiri vizuri. Moja ya mambo yaliyomwezesha Leornado kuwa vizuri kwenye fikra ni (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Ubongo Wa Kulia Na Ubongo Wa Kushoto.

By | November 16, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 134 – 143. Ubongo wa binadamu umegawanyika kwenye sehemu mbili, ubongo wa kulia na ubongo wa kushoto. Ubongo wa kulia unahusika zaidi na mambo ya ubunifu na sanaa. Ubongo wa kushoto unahusika zaidi na fikra na taratibu (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Sayansi Na Sanaa Zinategemeana.

By | November 14, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 124 – 133. Watu wengi wamekuwa wakishindwa kuelewa iwapo Leonardo da Vinci alikuwa mwanasayansi aliyejihusisha na sanaa au msanii aliyejihusisha na sayansi. Hii ni kwa sababu alikuwa vizuri sana maeneo yote mawili. Alikuwa vizuri kwenye sanaa na (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Mawazo Mazuri Yanakuja Ukiwa Umepumzika….

By | November 13, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 114 – 123. Moja ya vitu vilivyomwezesha Leornado kuwa na umaarufu mkubwa ni mawazo bora kabisa aliyokuwa anakuja nayo. Mengi yalikuwa ni mawazo ambayo alikuwa akiyapata akiwa amepumzika au akiwa anafanya kitu ambacho hakimchoshi au kuumiza akili. (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Kubali Hali Ya Kutokuwa Na Uhakika…

By | November 12, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 104 – 113. Tunaishi kwenye zama ambazo watu wanapenda kuwa na uhakika wa kile wanachofanya. Lakini hili halikuwa hivyo wakati wa Leonardo da Vinci. Katika kipindi hicho, ilikuwa ni muhimu kuweza kuvumilia hali ya kutokuwa na uhakika. (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Tutumie Milango Yetu Mitano Ya Fahamu Vizuri.

By | November 10, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 87 – 96. Inakuwaje pale unapokuwa na kitu kizuri ambacho kinaweza kukusaidia lakini hukitumii? Yaani ni sawa na una fedha zako mwenyewe, za kukutosha, lakini unaenda kuwa ombaomba. Hivi ndivyo wengi wanavyoishi kwenye maisha hao. Wana vitu (more…)