Category Archives: SIRI 50 ZA MAFANIKIO

Jifunze na fanyia akzi siri hizi 50 za mafanikio. Utabadili maisha yako kabisa.

SIRI YA 50 YA MAFANIKIO; Kuwa Mtu Wa Vitendo. Fanya Vitendo Vingi.

By | March 13, 2015

Unacho kila unachohitaji ili kufikia mafanikio. Unachotakiwa kufanya ni kuchukua hatua, kufanya vitendo. Fanya vitendo vingi sana. Hivyo ndivyo watu wenye mafanikio wanavyofanya. Wanapanga ni wapi wanataka kufika na wanaanza kuchukua hatua mara moja. Mbele ya safari wanajiendeleza ili kuwa bora zaidi. Ndoto yako ni nini? Je upo tayari kuiendea (more…)

SIRI YA 49 YA MAFANIKIO; Tengeneza Maana Nyingine Ya Kushindwa..

By | March 13, 2015

Kama unajua ndani ya nafsi yako kwamba umefanya kwa ubora wako wote hakuna kitu kinaitwa kushindwa. Hii ndio maana kuweka juhudi zako zote ni muhimu sana. Mara zote unashinda pale unapoweka juhudi zako zote. “In great attempts it is glorious even to fail.”  – Wilfred Peterson (more…)

SIRI YA 48 YA MAFANIKIO; Mara Zote Tumia Uwezo Wako Wote…

By | March 13, 2015

Juhudi zako zote ndio zinahesabika. Kama utafanya kwa ubora wako wote, hakuna aibu. Iwe ni kwenye kazi yako au kwenye jamii, au kwenye maisha yako binafsi, mara zote fanya kwa uwezo wako wote. Huwezi kujigakikishia kuwa bora zaidi ya wengine, ila unaweza kujihakikishia kuwa bora kwa uwezo wako mkubwa ulionao. (more…)

SIRI YA 47 YA MAFANIKIO; Jiandae Ili Kushinda.

By | March 12, 2015

Angalia lengho lako lakini wekeza muda mwingi kwenye kujiandaa kwa kile unachotakiwa kufanya ili kufikia lengo lako. Kushinda ni zao la maandalizi mazuri na juhudi. Wekeza kwenye kujiandaa na kuweka juhudi na mafanikio yatakuja yenyewe. “Failing to prepare is preparing to fail.”  – Unknown (more…)

SIRI YA 46 YA MAFANIKIO; Usiwe Na Wasiwasi Na Nafsi Yako.

By | March 11, 2015

Ni rahisi kuangalia nyuma na kuona sehemu ambayo ulikosea. Kama unaangalia nyuma ili kuona ni jinsi gani unaweza kuwa bora zaidi hapo sawa. Ila usipoteze muda wako kujiona kama huwezi. Majibu uliyopata zamani yanatokana na uzoefu wako wa zamani. Kama mambo hayatakwenda kama ulivyopanga tumia uzoefu wako wa sasa kuboresha (more…)

SIRI YA 45 YA MAFANIKIO; Mbinu Muhimu Za Kufanikiwa.

By | March 11, 2015

1. Usimuogope mshindani wako. Mheshimu mshindani wako. 2. Jinsi unavyofanya kazi kwa juhudi zaidi ndivyo unavyozidi kuwa na bahati. 3. Jua vizuri kile unachokifanya. 4. Jijue wewe mwenyewe. Tumia ubora wako. 5. Kupambana na juhudi zitafidia makosa. 6. Kuwa mkweli kwako binafsi. Fuata moyo wako. “I don’t know the key (more…)

SIRI YA 44 YA MAFANIKIO; Uvumilivu Unalipa Sana. Angalia Maisha Ya Mtu Huyu Yalivyokuwa Ya Kukatisha Tamaa.

By | March 10, 2015

Akiwa na miaka 21 alishindwa kwenye biashara. Akiwa na miaka 22 alishindwa kwenye uchaguzi wa uwakikishi. Akiwa na miaka 23 alishindwa kwenye biashara ya pili. Akiwa na miaka 25 mchumba wake alikufa. Akiwa na miaka 26 alipata ugonjwa wa akili(kichaa) Akiwa na miaka 28 alishindwa kwenye uchaguzi wa uwakilishi. Akiwa (more…)

SIRI YA 43 YA MAFANIKIO; Anza Kufanya Maamuzi Mengi Zaidi.

By | March 10, 2015

Viongozi hufanya maamuzi – kila mara. Wafuasi wanatoa mapendekezo. Kutoa mapendekezo ni rahisi kwa sababu hayahitaji wewe kufanyia kazi na hakuna hofu ya kusindwa. Kugpfanya maamuzi ni kugumu. Inahitaji ujasiri kwa sababu mara zote kunakuwa na changamoto. Anza kufanya maamuzi zaidi. Anza kufanya matendo zaidi. Jinsi unavyofanya zaidi ndivyo unavyojitengeneza (more…)

SIRI YA 42 YA MAFANIKIO; Mtazamo Wako Utapima Mafanikio Yako.

By | March 8, 2015

Tafiti za watu waliofanikiwa zinaonesha kwamba mtazamo unachangia asilimian80 ya mafanikio na asilimia 20 ndio inacangiwa na vitu vingine kama juhudi na maarifa. Mtazamo maana yake nini? Maana yake ni kufikiri kama mshindi. Kutegemea kushinda. Kuwa tayari kulipa gharama ya mafanikio. Kuamua ni lazima ufikie mafanikio. Kuamini unaweza kufanikiwa. Kuwa (more…)

SIRI YA 41 YA MAFANIKIO; Shirikiana Na Watu Muhimu Kufikia Ndoto Zako.

By | March 6, 2015

Usikubali ukosefu wa ujuzi au rasilimali kukuzuia wewe kufikia ndoto zako. Kama kuna kitu hujui, au kuna kitu huna tafuta mtu kwenye kujua au mwenye nacho ambaye utaweza kushirikiana nae. Tafuta watu wa kushirikiana nao ambao wana vitu muhimu ambavyo wewe huna. Na ushirikiano wenu utawawezesha wote kufikia mafanikio makubwa. (more…)