Category Archives: DARASA LA JUMAPILI

DARASA LA WIKI; FALSAFA YA USTOA NA MATUMIZI YAKE KWENYE ZAMA TUNAZOISHI.

By | May 6, 2018

UTANGULIZI KUHUSU FALSAFA. Tangu enzi na enzi kumekuwepo na falsafa mbalimbali hapa duniani. Falsafa imekuwa ni njia ambayo wanadamu wamekuwa wakiitumia kuielewa dunia, kuyaelewa maisha na kujua kwa nini wapo hapa duniani. Maisha yetu sisi binadamu ndiyo maisha ya viumbe ambao hawajaandaliwa kuendana na mazingira tunayoishi, hivyo inatuhitaji sisi kutumia (more…)

DARASA LA JUMAPILI; JINSI YA KUFIKIRI KWA KINA NA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI.

By | February 26, 2018

DARASA LA JUMAPILI. MADA; JINSI YA KUFIKIRI KWA KINA NA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI. Habari wanamafanikio? Jumapili hii kwenye muda wetu wa darasa, kuanzia saa 12 jioni mpaka saa 2 usiku, tutakuwa na darasa la JINSI YA KUFIKIRI KWA KINA NA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI. Hili ni darasa muhimu kwa zama tunazoishi (more…)

DARASA LA JUMAPILI; UWEKEZAJI KWENYE SOKO LA HISA

By | February 26, 2018

DARASA LA JUMAPILI. MADA; UWEKEZAJI KWENYE SOKO LA HISA. Karibuni wanamafanikio kwenye darasa letu la jumapili ya leo ambapo tunakwenda kujifunza na kujadili kwa kina kuhusu uwekezaji kwenye soko la hisa. Hii ni moja ya njia muhimu za uwekezaji ambayo wengi wamekuwa wanashindwa kuitumia kutokana na kukosa maarifa sahihi ya (more…)