Category Archives: KITABU; RICH DAD, POOR DAD

RICH DAD; Hatua Kumi Za Kufuata Ili Kufikia Uhuru wa Kifedha – 2

By | October 3, 2014

Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu RICH DAD POOR DAD. Leo tunaendelea kujifunza hatua kumi za kufuata ili kuanza safari yako ya kufikia uhuru wa kifedha. 8. Hatua ya nane; ASSET zinanunua vitu vya anasa. Robert anasema ni vigumu sana kuwekeza kwenye assets kwa sababu kuna vishawishi vingi sana vya watu (more…)

RICH DAD; Hatua Kumi Za Kufuata Ili Kufikia Uhuru wa Kifedha.

By | October 2, 2014

Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu RICH DAD POOR DAD. Leo tutajifunza hatua kumi za kufuata ili kuanza safari yako ya kufikia uhuru wa kifedha. 1. Hatua ya kwanza; Sababu kubwa kuliko uhalisia. Watu wengi wanapenda kufikia uhuru wa kifedha, ila uhalisia unawazuia kufikia malengo hayo. Hii inatokana na kwamba safari (more…)

RICH DAD; Mtazamo Unaowasumbua Wafanyakazi.

By | September 26, 2014

Robert anasema kuna usemi mmoja unasema kwamba wafanyakazi wanafanya kazi kwa bidii sana ili wasifukuzwe, waajiri wanalipa kidogo sana kiasi kwamba wafanyakazi hawataacha kazi. Ukiangalia malipo ya makampuni mengi usemi huo una ukweli sana na ndio maana wafanyakazi wengi hawawezi kupata maendeleo makubwa. Na wao bila ya kujali tatizo ni (more…)

RICH DAD; Somo La Sita, Fanya Kazi Kujifunza, Usifanye Kazi Kupata Fedha.

By | September 25, 2014

Mwaka 1995 Robert alikuwa kwenye mahojiano na mwandishi wa habari. Mwandishi huyo alimwambia Robert angependa kuwa mwandishi mzuri na anayeuza kama yeye. Robert anasema kwa kuangalia makala alizokuwa anaandika zilikuwa nzuri sana. Robert alimwambia una staili nzuri ya kuandika, nini kinakuzuia kufikia malengo yako? Mwandishi alimjibu kazi yake haikuonekana kumfikisha (more…)

RICH DAD; Somo La Tano, Matajiri Wanavumbua Fedha.

By | September 19, 2014

Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu RICH DAD POOR DAD, kusoma chambuzi zilizopita bonyeza maandishi haya. Makala za juu ndio mpya, za chini ni za zamani, hivyo kusoma kwa mtiririko mzuri anza na za chini ndio uje za juu. Katika masomo sita ambayo Robert aliahidi kutufundisha katika kitabu hiki, somo la (more…)

RICH DAD; Somo La Nne; Historia Ya Kodi Na Nguvu Ya Mashirika.

By | September 18, 2014

Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu RICH DAD POOR DAD, kusoma chambuzi zilizopita bonyeza maandishi haya. Makala za juu ndio mpya, za chini ni za zamani, hivyo kusoma kwa mtiririko mzuri anza na za chini ndio uje za juu. Katika masomo sita ambayo Robert aliahidi kutufundisha katika kitabu hiki, somo la (more…)

RICH DAD; Ijue Biashara Yako Vizuri.

By | September 12, 2014

Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu RICH DAD POOR DAD, kusoma chambuzi zilizopita bonyeza maandishi haya. Makala za juu ndio mpya, za chini ni za zamani, hivyo kusoma kwa mtiririko mzuri anza na za chini ndio uje za juu. Katika masomo sita ambayo Robert alisema amefundishwa na atatufundisha kuhusu kufikia uhuru (more…)

RICH DAD; Mambo Matatu Unayokosa Kwa Kuwekeza Kwenye Nyumba.

By | September 11, 2014

Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu RICH DAD POOR DAD, kusoma chambuzi zilizopita bonyeza maandishi haya. Makala za juu ndio mpya, za chini ni za zamani, hivyo kusoma kwa mtiririko mzuri anza na za chini ndio uje za juu. Kwenye uchambuzi uliopita tuliona jinsi ambavyo RICH DAD alimfundisha Robert na Mike (more…)

RICH DAD; Nyumba Yako Sio Mali Inayozalisha.

By | September 5, 2014

Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu RICH DAD POOR DAD, kusoma chambuzi zilizopita bonyeza maandishi haya. Makala za juu ndio mpya, za chini ni za zamani, hivyo kusoma kwa mtiririko mzuri anza na za chini ndio uje za juu. Kwa sababu wanafunzi wanamaliza masomo bila ya kupata mafunzo ya fedha, watu (more…)