UKURASA WA 1147; Njia Za Kujikatisha Tamaa Hazikosekani…

By | February 20, 2018
Watu wengi wamekuwa wanapanga kufanya makubwa, na wengine wanaanza hata kufanya, wakiwa na hamasa kubwa mwanzoni, ila haiwachukui muda wanakata tamaa. Wanakuwa wanataka sana kuendelea, ila wakiangalia mbele hawaoni matumaini hivyo kukosa kabisa nguvu ya kuendelea. Kwa yeyote yule anayekata tamaa kwenye jambo lolote kwenye maisha, basi cha kwanza kabisa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In