UKURASA WA 1159; Maamuzi Ya Kutokufanya…

By | March 4, 2018
Mara kwa mara watu hukumbwa na msongo wa mawazo kwenye maisha yao. Na msongo huu hutokana na mambo mbalimbali ambayo watu wamekuwa wanapitia. Lakini kubwa kabisa ni pale mtu anapokuwa anapanga kufanya mambo, ila hayafanyi. Anabaki na mipango ambayo kila akiifikiria anapata msongo wa mawazo. Wakati mwingine mtu anakuwa amewaahidi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In