UKURASA WA 1161; Chagua Nafsi Moja Itakayokutawala…

By | March 6, 2018
Wanasayansi wanaanza kukubaliana na kitu ambacho viongozi wa kiroho na wanafalsafa wamekuwa wakisema tangu enzi na enzi. Kwamba upo uwezekano kwamba mtu kama mtu siyo nafsi moja. Yaani kuna uwezekano ndani yako zipo nafsi nyingi. Na ubaya ni kwamba, nafsi hizi hazikubaliani kwenye jambo lolote kwa wakati mmoja, labda mpaka

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In