UKURASA WA 1191; Mambo Mabaya Hutokea Hata Kwa Watu Wazuri…

By | April 5, 2018
Sehemu ambapo akili zetu sisi binadamu zinashindwa kuelewa, ni pale tunapofanya kila tunachopaswa kufanya, lakini tunapata matokeo tofauti na tuliyotegemea kupata. Tunaamini kama tunaweka juhudi fulani, basi tunapaswa kupata matokeo yanayoendana na juhudi hizo. Na pale matokeo tunayopata yanapokuwa tofauti, tunaona kama tumedhulumiwa au tumedanganywa. Lakini ukweli ni kwamba, mambo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In